Loading...
title : SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI.
link : SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI.
SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI.
Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Mabigwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Sports Club leo imeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya milioni 250 na Kampuni ya A one Production.
A one Production ni Kampuni inayozalisha kinywaji cha Mo enery, wameingia makabaliano hayo na uongozi wa Simba kama sehemu ya uwekezaji katika club hiyo.
Uongozi wa Simba umeeleza kuwa fedha hizo watatumia kufanya maboresho ya uwanja wao uliopo Bunju jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI.
yaani makala yote SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/simba-yaongeza-mwekezaji.html
0 Response to "SIMBA YAONGEZA MWEKEZAJI."
Post a Comment