Loading...
title : SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI
link : SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI
SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti , Mhe. Goerge Simbachawene akiongoza Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mashimba Ndaki . Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018.
Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. George Simbachawene ikiwa katika kikao cha Kamati leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018.
Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. George Simbachawene ikiwa katika kikao cha Kamati leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018
Hivyo makala SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI
yaani makala yote SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/simbachawene-aongoza-kikao-cha-kamati.html
0 Response to "SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI"
Post a Comment