Loading...

TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI

Loading...
TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI
link : TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI

soma pia


TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI


Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika) “electro physiologist” (EP) tunatarajia kufanya kambi maalum ya magonjwa ya moyo yatokanayo na mfumo wa umeme wa moyo usiofanya kazi sawasawa. Matibabu yatakayotolewa katika kambi hiyo inatarajia kuanza tarehe 11 hadi 18 Agosti 2018 ni pamoja na kuwawekea wagonjwa Pacemakers, ICDs, CRT-Ds na CRT-Ps kutokana na ugonjwa utakaogundulika.

Taasisi inawaomba madaktari wote wa Hospitali za Rufaa nchini kuwaleta wagonjwa wenye matatizo yafuatayo kwa ajili ya matibabu:

Atrioventicular block

Chronic bifascicular and tri fascicular block

Sinus node dysfunction

Complete Heart block

Tachyarrhythmias

Third degree block

Heart Failure with severe LV dysfunction (LBBB) >130m/s

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Dkt. Peter Kisenge kwa namba 0713 236 502 na +255 22 2151379 ambaye atawaelekeza utaratibu wa kuwatuma wagonjwa hao.


Imetolewa na:

Kitengo cha Uhusiano
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
06/08/2018


Hivyo makala TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI

yaani makala yote TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/taarifa-kwa-madaktari-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI"

Post a Comment

Loading...