Loading...

TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI

Loading...
TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI
link : TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI

soma pia


TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI

JESHI la Polisi Mkoa wa Tabora limewakata watu watatu kwa matukio tofauti akiwemo dereva aliyekuwa akiendesha Treni ya abiria huku akiwa amelewa na wengine wawili walikutwa wakisafirisha madawa ya kulevya aina ya Bhangi.

Taarifa ya Polisi iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo imemtaja Dereva aliyekamatwa akiendesha treni ya abiria akiwa amelewa kuwa ni Elirehema Macha mkazi wa Dodoma.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Emanuel Nley alisema kuwa dereva huyo alikamatwa wiki iliyopita baada ya kuendesha treni ya abiria namba B 12 iliyokuwa ikitoka Dar es salaam kuelekea Kigoma akiwa amelewa na kutosimama kusimama katika kituo cha Malongwe.


Aliongeza kuwa kitendo cha dereva kutosimamisha treni kwenye kituo hicho kulileta taharuki kwa abiria waliokuwa wakitelemka na wale waliokuwa wakitaka kupanda ndipo taarifa ikatolewa polisi ambao waliweza kumkamata.


Katika tukio jingine Kamanda Nley alisema Polisi imekamata na madawa ya kulevya Amos Maziku ambaye ni Ajenti wa mabasi na Hassan Selemani dereva ambao walikutwa kwenye Kituo cha mabasi Sagara cha mjini Nzega wakiwa na Bhangi kilogram 51.45 wakiisafirisha.

Kamanda Nley alisema kuwa watuhumiwa hao walikuwa wakisafirisha bhangi hiyo kwenye basi la Shabco lenye namba za usahili T 501 BRZ lililokuwa likielekea jijini Mwanza huku wameweka ndani ya Ndoo kubwa ya maji na wamefunga ndani ya mifuko ya Sandarusi wakiwa wamechanganya na sufuria na sahani ili wasijulikane.


Aidha Kamanda huyo alisema katika misako inayoendelea wamefanikiwa kukamata Silaha mbili zilizotengeneza kienyeji

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Emanuel Nley akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya kukamatwa kwa watu mbalimbali kwa ajili ya matukio mbalimbali ya kihalifu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Emanuel Nley akiwaonyesha leo waandishi wa habari bhangi iliyokamatwa juzi Wilayani Nzega katika Stendi ya Mabasi ya Sagara.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Emanuel Nley akiwaonyesha leo waandishi wa habari bastola iliyokamatwa juzi Wilayani Igunga hivi karibuni katika misakao ya kusaka wahalifu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Emanuel Nley akiwaonyesha leo waandishi wa habari Silaha aina ya Gobole iliyokutwa Porini baada ya Mhusika kujinyonga kwa kuogopa kukamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumua mke wake kwa sababu ya wivu wa kimapenzi.


Hivyo makala TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI

yaani makala yote TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tabora-watu-watatu-wakamatwa-na-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TABORA: WATU WATATU WAKAMATWA NA POLISI KWA MATUKIO MATATU TOFAUTI"

Post a Comment

Loading...