Loading...
title : TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA
link : TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA
TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA
Meneja Uendeshaji wa Tawi la Benki ya TPB plc lililopo Posta tawi la Ywc Branch, Salma Marijani (katikati) akimkabidhi Paulina Albert, zawadi mbalimbali ikiwemo picha ya ukutani katika kusherehekea Wiki ya Asante Mteja na Wateja wa Tawi hilo. Kushoto ni Meneja Mwandamizi Idara ya Masoko na Ukuzaji wa Biashara, Frank Mushi (kulia) ni Msimamizi Huduma kwa Wateja, Gloria Mutta. Picha na Prona Mumwi
eneja Mwandamizi Idara ya Masoko na Ukuzaji wa Biashara, Frank Mushi wa Benki ya (TPB) akizungumza na waandishi wahabari hawapo pichani mwishoni mwa wiki katika Wiki ya Asante Mteja na Wateja wa Tawi hilo la Ywc Branch lililopo Posta Dar es Salaam
Hivyo makala TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA
yaani makala yote TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tpb-yatoa-zawad-kwa-wateja-wake.html
0 Response to "TPB YATOA ZAWAD KWA WATEJA WAKE IKISHEREHEKEA WIKI YA WATEJA"
Post a Comment