Loading...
title : Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni
link : Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni
Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni
Jumba la Treni(CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSF na kufunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein Darajani Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jumba la Treni(CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSFdarajani mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akielekeza kitu kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano alipotembelea sehemu mbalimbali za jengo hilo na kuoneshwa ramani baada ya kulifungua Jumba hilo la Treni(CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSFdarajani mjini Unguja.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba na kuelezea historia ya jengo la Treni (CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSF na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein darajani mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akitoa hotuba ya ufunguzi wa Jengo la Treni (CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSFdarajani mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni
yaani makala yote Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ufunguzi-wa-jengo-la-chawl-building.html
0 Response to "Ufunguzi wa jengo la Chawl Building maarufu kama Jumba la Treni"
Post a Comment