Loading...
title : UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI
link : UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI
UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI
Jana tarehe 14 Agosti, 2018 ujumbe kutoka CRDB ukiongozwa na Mkurugenzi wake Dk. Charles Kimei ulifanya ziara katika Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma lengo likiwa ni kufahamu majukumu na shughuli za Tume.

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kushoto) kwenye Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma. 
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akifafanua jambo kwenye kikao kilichoshirikisha ujumbe wake na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya 
Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya akifafanua jambo
Hivyo makala UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI
yaani makala yote UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ujumbe-wa-crdb-wafanya-ziara-tume-ya.html
0 Response to "UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI"
Post a Comment