Loading...

UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs

Loading...
UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs
link : UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs

soma pia


UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs



Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya YES, Kenneth Simbaya (kulia) mipira itakayotumika kufunza vijana kuhusu SDGs na wajibu katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya YES, Kenneth Simbaya (katikati) akimkabidhi Necta Mussa (kulia) kijana ambaye aliwakilisha wenzake mipira itakayotumika kufunza vijana hao kuhusu SDGs na wajibu wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia tukio hilo ni Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto).
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya YES, Kenneth Simbaya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kupokea mipira hiyo ya kuhamasisha vijana kuhusu SDGs na wajibu kupitia michezo wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi wa vijana kutoka YES Necta Mussa na kushoto ni Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez. 



Hivyo makala UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs

yaani makala yote UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/un-yakabidhi-mipira-yes-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs"

Post a Comment

Loading...