Loading...
title : Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao.
link : Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao.
Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao.
Afisa Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar Ndg. Massoud Ali Mohamed, akifungua mafunzo ya wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar, kwa wafanyakazi wa wakala Kisiwani Pemba.
Muwezeshaji wa mafunzo hayo Mwanasheria wa waatisisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya kijamii zanzibar Hamid Haji Machano, akiwasilisha mada juu ya sheria namba 3 ya mwaka 2018 ya wakala wa matukio ya kijamii zanzibar
Wafanyakazi wa Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar, Upande wa Pemba wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa sheria ya uwakala wa usajili wa matukio ya kijamii zanzibar, huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman Pemba )
Hivyo makala Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao.
yaani makala yote Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wafanyakazi-wa-wakala-kisiwani-pemba.html
0 Response to "Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao."
Post a Comment