Loading...
title : Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika
link : Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika
Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018, Ndg. Charles Francis Kabeho akifungua Daraja la Ikungulyabashashi wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wakati Mwenge wa Uhuru ukiwa katika mbio zake wilayani humo, Agosti 17, 2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018, Ndg. Charles Francis Kabeho akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Ikungulyabashashi wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wakati Mwenge wa Uhuru ukiwa katika mbio zake wilayani humo, Agosti 17, 2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018, Ndg. Charles Francis Kabeho akiangalia kiatu kilichotengenezwa na Kikundi cha Vijana wa Dutwa wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, wakati Mwenge wa Uhuru ukiwa katika mbio zake wilayani humo, Agosti 17, 2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018, Ndg. Charles Francis Kabeho akimtwisha ndoo ya maji Bi. Joyce Paulo mkazi wa Kijiji cha Kasoli wiayani Bariadi mkoani Simiyu mara baada ya kufungua mradi wa kisima kirefu cha maji Kasoli, wakati Mwenge wa Uhuru ukiwa katika mbio zake wilayani humo, Agosti 17, 2018.
Hivyo makala Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika
yaani makala yote Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wananchi-simiyu-washukuru-serikali.html
0 Response to "Wananchi Simiyu Washukuru Serikali Kujenga Daraja Ikungulyabashashi, Wakiri Mawasiliano Usafirishaji Kuimarika"
Post a Comment