Loading...

WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI

Loading...
WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI
link : WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI

soma pia


WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI

*Wasema wanamatumaini makubwa dhidi yake,DC azungumzia ujenzi barabara Mbiga hadi Nyasa


Na David John,Nyasa

WANANCHI wa Wilaya mpya ya Nyasa wamesema hawaamini kama barabara kutoka Mbinga hadi Nyasa inajengwa tena kwa kiwango cha lami.

Wamedai kwamba barabara hiyo ilipimwa tangu mwaka ya 1974 lakini hadi sasa hakuna kilichokuwa kimefanyika.Wakizungumza jana wilayani hapa wamesema wanapongeza Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Magufuli na kwamba mara zote imekuwa serikali ya vitendo ikisema inatenda.

Hivyo wanaona kama ndoto barabara hiyo inajengwa tena kwa kiwango cha lami.Wananchi hao wameeleza hayo baada ya mwandishi wa habari hizi kufika katika wilaya hiyo kwa lengo la kuona namna viongozi wamejipanga kwa ajili ya maendeleo, ambapo walisema hawaamini kwani wanaona kama ndoto.

Mwananchi Stephano Nchimbi alisema marais wengi wamepita lakini leo Rais John Magufuli anafanya kazi na wanamuomba Mungu aendelee kumbariki."Eti nasisi leo tunakwenda kuiona lami baada ya miaka lukuki,ndugu mwandishi mimi nakumbuka barabara ilipimwa tangu miaka ya 1974 tena mimi nikiwa bado kijana mdogo lakini Magufuli anafanya kwa vitendo leo Mungu ambariki,"alisema Nchimbi huku wezake wakimshangilia.

Pia Nchimbi ameomba Serikali ya wilaya hiyo kuwapa maelekezo Wakandarasi wanaojenga barabara hiyo kutoa kipaumbele kwa vijana wa kinyasa kupata ajira tofauti na ilivyo sasa ambapo walidai vijana wengi wanaofanya kazi wanatoka mbali."Kumekuwepo na ubaguzi kidogo katika kupata kazi hususani sisi vijana wakinyasa hivyo tunaomba wakandalasi kama anavyosisitiza Rais wetu Magufuli kutoa kipaumbele kwa wenyeji,"amesema Pius Mbawala
DC Nyasa  Mh.Esabela Chilumba .



Hivyo makala WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI

yaani makala yote WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wananchi-wilaya-ya-nyasa-wasifu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI"

Post a Comment

Loading...