Loading...

'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO

Loading...
'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO
link : 'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO

soma pia


'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO


NA. GSENGOtV

Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku, Kushindwa kuzuia mkojo, yaani ukichelewa kidogo unaweza kukutoka bila breki, Maumivu wakati wa kukojoa, Kuishiwa nguvu za kiume, Kupungua kwa uwingi wa mbegu (low sperm count), Maumivu wakati unafika kileleni, Damu kutokea kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume, Maumivu nyuma ya mgongo au hata nyonga nk basi uonapo dalili hizo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume.

Kupitia dalili hizo ni wazi kwamba afya ya mgonjwa itakuwa matatani kwenye mataabiko.Wahenga walironga mficha maradhi kifo humuumbua. Kila kiungo cha mwanadamu kikipata tatizo ni jukumu la matabibu kufanya uchunguzi na kutoa huduma kwa eneo lililodhurika, Haiingii akilini kwamba uendelee kuteseka ile hali tiba ipo. Nao wataalamu wanasema uchunguzi wa kutumia kidole hauhitaji gharama kubwa kama ilivyo njia nyingine za kutumia vifaa maalum vya uchunguzi.

Ni tamaduni tu za watu wenye mawazo machafu ndizo zinazo wafanya wengi kudhani kipimo cha kidole ni udhalilishaji, lakini madaktari waliosomea fani hiyo wanasema kuwa ni njia ya kawaida sana.Kwa kuliona hilo Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza imezindua hudumu za kliniki za muda wa jioni kwa siku za wikiendi na sikukuu, lengo likiwa ni kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za Afya kwa wananchi wote ambao watahitaji huduma za kibingwa muda wote.

Hasa wale ambao hawawezi kufika hospitali kutokana na kubanwa na kazi. Fuatilia kile kilichojiri katika uzinduzi ikiwa ni pamoja na mashuhuda wanaume wa Tezi dume.
Huduma za uchukuaji vipimo zikiendelea katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza 
Licha ya kuwa na idadi kubwa ya wahitaji wa kupima afya, idadi ya madaktari wahudumu wa afya iliendana na kasi. 
Meza na meza vitengo kwa vitengo katika Uzinduzi wa Huduma za Kliniki za Jioni za Bure Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>>


Hivyo makala 'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO

yaani makala yote 'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wanaume-kuogopa-kupima-tezi-dume-kisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA UZINDUZI WA KLINIKI ZA JIONI BUGANDO"

Post a Comment

Loading...