Loading...

Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu

Loading...
Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu
link : Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu

soma pia


Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu

Na Oliver Njunwa 

Wapelelezi wa Kodi wa Mamlaka za Mapato Afrika Mashariki wametakiwa kuharakisha mchakato wa kuandaa mtaala wa kuwajengea uwezo wapelelezi wa kodi pamoja na mfumo wa kisheria ili kuweza kushirikiana katika kupambana na uhalifu katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Wito huo umetolewa na Kaimu Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Salim Kessi wakati akifungua Mkutano wa Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Makamishna wa Upelelezi wa Kodi wa Mamlaka za Mapato Afrika Mashariki unaofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu Zanzibar.

“Tunataka mchakato huu umalizike mapema ili tuweze kupambana na uhalifu katika ukusanyaji wa kodi kwani kadri tunavyochelewa ndivyo na wahalifu wanaendelea kusababisha upotevu wa kodi kwa mamlaka zetu za mapato”, alisema Bw. Kessi.

Aliongeza kwamba kwa siku nne ambazo watakuwa Zanzibar wanatakiwa kukamilisha hiyo kazi ili iweze kuwasilishwa katika kikao cha Makamishna wa Upelelezi wa Kodi Afrika Mashariki ambao walikubaliana kushirikiana kufanya upelelezi wa kodi kwa pamoja kupampana na kudhibiti uhalifu katika masuala ya kodi.
Kaimu Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Salim Kessi akisisitiza jambo wakati akifungua mkutano wa Kamati ya wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki. 
Wajumbe wa Kamati ya wapelelezi wa kodi wakifuatilia kwa makini hotuba ya Kaimu Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi TRA Salim Kessi (hayupo katika picha) wakati akifungua rasmi mkutano. 
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki katika picha ya Pamoja na Kaimu Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi TRA Salim Kessi (katikati walioketi) mara baada ya ufunguzi wa mkutano katika ukumbi wa Benki Kuu Zanzibar. 




Hivyo makala Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu

yaani makala yote Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wapelelezi-wa-kodi-afrika-mashariki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wapelelezi wa Kodi Afrika Mashariki Kushirikiana Kupambana na Uhalifu"

Post a Comment

Loading...