Loading...
title : WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA
link : WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA
WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akizungumza wakati akiwakaribisha ofisini kwake Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti,2018 katika Ukumbi wa Maofisa wa Polisi Arusha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akiwa katika picha ya pamojamara baada ya kuwakaribisha ofisini kwake Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti,2018.
Na Gasto Kwirini wa Polisi Arusha
JESHI la Polisi Mkoani hapa limeyaonya baadhi ya Makampuni ya Ulinzi kuacha tabia ya kutumia magari yao ya dharura vibaya kinyume na utaratibu pindi wawapo barabarani.
Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi wakati akiwakaribisha ofisini kwake Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti mwaka huu katika Ukumbi wa Maofisa wa Polisi Arusha.
“Kuna baadhi ya Magari ya Makampuni ya Ulinzi yanatumiwa vibaya kwa kigezo cha kuwahi dharura japokuwa wakati mwingine huko waendako hakuna hiyo dharura inayowataka wafanye hivyo. Lakini pia pale kwenye ulazima msitumie magari hayo ya dharura kwa kubeba vitu haramu kama vile bhangi”. Alionya kamanda Ng’anzi.
Hivyo makala WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA
yaani makala yote WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/watakiwa-kuacha-kutumia-magari-yao-ya.html
0 Response to "WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA"
Post a Comment