Loading...

Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena

Loading...
Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena
link : Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena

soma pia


Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika wodi maalum kitengo cha Taasisi ya mifupa MOI, hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa mara nyingine tena.

Hii inakuwa ni mara ya tatu kwa Kikwete kumtembelea Dk Kigwangalla ambapo awali alimtembelea Agosti 8,2018 alipokuwa amelazwa Wodi ya Mwaisela akipatiwa Matibabu ya awali na juzi Agosti 15,2018 katika wodi ya Taasisi ya Mifupa MOI.

Akiwa hospitaini hapo mapema jana, Kikwete ameweza kumjulia hali na kubadilishana nae mawazo mbalimbali huku akimtakia unafuu aendelee na majukumu yake ya kila siku na akimpongeza kwa shughuli zake anazozifanya katika kuinua sekta ya Utalii pamoja na kulinda rasilimali za Maliasili.

“Nikutakie kheri. Nashukuru kwa kukuta unaendelea vizuri sasa na nilikuja ukiwa upo unaongea ukiwa umelala kitandani na kwa sasa nimekuja tena umeweza kuimarika na hata kutembea na kukaa kama hivi hongera sana” alieleza Kikwete wakati akimjulia hali Waziri Kigwangalla wodini hapo.

Tayari jopo la Madaktari bingwa wa MOI wamebainisha kuwa Dkt. Kigwangalla kwa sasa anaendelea vizuri na muda wowote anaweza kuruhusiwa kurejea nyumbani ambapo kwa sasa sehemu zilizobakia ni mkono wake wa kushoto ambao kila siku unaendelea kuimarika.

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI anapopatiwa matibabu alipomtembelea kwa mara nyingine jana. 
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI anapopatiwa matibabu alipomtembelea kwa mara nyingine jana. Picha zote na Andrew Chale.



Hivyo makala Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena

yaani makala yote Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/waziri-dk-kigwangalla-kuruhusiwa-muda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Dk. Kigwangalla kuruhusiwa muda wowote MOI, Kikwete amtembelea tena"

Post a Comment

Loading...