Loading...
title : WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO
link : WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO
WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akiiongoza Wizara yake kutoa majibu ya hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Sheria Ndogo wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi alipokuwa akitoa majibu ya hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
Hivyo makala WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO
yaani makala yote WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/waziri-wa-aridhi-afanya-kikao-na-kamati.html
0 Response to "WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO"
Post a Comment