Loading...

WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI

Loading...
WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI
link : WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI

soma pia


WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI



SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema kwamba kutoka mwaka 2010 imeingiza katika uchumi wa Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 278 kutokana na huduma mbalimbali inazotoa kusaidia wakimbizi ambao wapo nchini.

Aidha fedha hizo zimeingia katika mfumo wakati Tanzania inatumika kama kituo cha lojistiki kusaidia maeneo mengine ya ukanda wa Afrika Mashariki wenye matatizo.

Hayo yamesemwa katika maadhimisho ya Siku za msaada duniani, inayokumbukwa kuadhimisha mauaji ya watoa misaada wakati wa mashambulio ya anga ya Baghdad, Irak miaka kadhaa iliyopita.

Aidha siku hiyo inaadhimishwa Agosti 19 kila mwaka kutoa neno kwa jamii ya dunia kuwakumbuka watoa misaada ambao wapo katika hatari ya maisha kutokana na vurugu zinasumbua duniani.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Tanzania, Michael Dunford alisema kwamba kumekuwepo na uingizaji mkubwa wa fedha katika uchumi wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kuwa na kusaidia chakula kwa wakinbizi waliopo nchini Tanzania kwa kusaidiana na mashirika mengine.

Kwa Tanzania kwa sasa inahifadhi wakimbizi 297,000 kutoka Burundi na Kongio (DRC) katika maeneo ya Nyarugusu, Nduta na Mtendeli mkoani Kigoma .
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini Michael. Dunford.



Hivyo makala WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI

yaani makala yote WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wfp-yaadhimisha-siku-ya-misaada-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI"

Post a Comment

Loading...