Loading...
title : WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI.
link : WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI.
WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI.
Na John Luhende
Mwamba wa habari
Katika kuimarisha ulinzi shirikishi na kukabiliana na uhalifu,wananchi wa mtaa wa ungindoni Manispaa ya Kigamboni wameamua kuchangishana na kununua gari kwaajili ya ulinzi katika mtaawao na kulikabidhi kwa mkurugenzi ambaye naye amelikabidhi kwa Jeshi la Polisi wilayani humo.
AKizungumza wakati wa kukabidhi Gari hilo aina ya lav4 Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni steven Katemba , amewashukuru wananchi wa mtaa wa ungindoni na kuwataka wananchi katika mitaa mingine kushirikiana na serikakali kwa mabo mbalimbali ikiwemo ya ulimzi nausalama.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa mtaa wa Ungindoni Abeid Lyoba amesema wameamua kununua gari hili kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu jambo ambalo linatishia amani ya wananchi wa eneohilo.
Naye mkuu wa jeshi la polisi wa wilaya ya kigamboni OCD John Makuri Imori ,amesema kukabidhiwa kwa gari hilo kutasaidia kwa kuongeza kasi ya utendaji kazi ya jeshihilo wilayani humo.
Pamoja na hayo mkurugenzi Katemba amekutana na wenyeviti wa mitaa yote ya Wilaya hiyo na kuwaomba wafanye kazi kwa ushirikiano katika kutatua kero za wananchi ,na kusema kuwa ameandaa operesheni maalumu ambapo ataenda kila mtaa kutatua kero za wananchi.
Hivyo makala WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI.
yaani makala yote WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wnanchi-mtaa-wa-ungindoni-wakabidhi.html
0 Response to "WNANCHI MTAA WA UNGINDONI WAKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI KIGAMBONI."
Post a Comment