Loading...

YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO.

Loading...
YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO.
link : YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO.

soma pia


YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO.



Kikosi cha Yanga kinashuka dimbani kucheza na Mtibwa Sugar leo ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili kwa msimu wa wa 2018/19.

Kuelekea mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mashindano, Hussein Nyika, ameahidi kuwa Yanga itauwasha moto mkali.

Nyika amepata jeuri hiyo baada ya kuwamaliza USM Alger kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa Agosti 19 ambapo waliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Mwenyekiti huyo anaamini Yanga itaonesha maajabu zaidi ya yale waliyompatia Alger kwa kuwa wana malengo ya kurejesha kikombe chao ambacho kilikwenda kwa wekundu wa Msimbazi, Simba.

Mechi hiyo itachezwa majira ya saa 12 za jioni ambapo pia itakuwa mubashara kupitia king'amuzi cha Azam TV.


Hivyo makala YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO.

yaani makala yote YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/yanga-waahidi-makubwa-taifa-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA WAAHIDI MAKUBWA TAIFA LEO."

Post a Comment

Loading...