Loading...
title : AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO
link : AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO
AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO
Na Agness Francis, Globu ya jamii
UONGOZI wa Kikosi cha Azam chini ya Kocha Mkuu wake Hans Van der Pluijm umesema kwa mazoezi waliyofanya sasa vijana wapo tayari kupambana dhidi ya Biashara United.
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika leo saa 10 jioni katika dimba la Karume mkoani Mara.
Hivyo Azam mchezo huo wa leo ni wa nne kwao katika Ligi Kuu Tanzania Bara na wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama saba.
Wakati timu ya Biashara ni mzunguko wa tano na wanashika nafasi ya 12 ikiwa na alama nne.
Ambapo JKT Tanzania wakiwa vinara wa ligi hiyo ambayo imeshacheza michezo 4 mpaka sasa na wakiwa na alama 8.
Katika mchezo uliopita Azam FC ilionesha kulazimisha sare ya kufungana 1-1 dhidi Mwadui FC katika uwanja wa Kambarage huko mkoani Shinyanga.
Wakizungumzia mchezo wa leo dhidi ya Biashara ,Uongozi wa Kikosi cha Azam umesema wachezaji wao wako vizuri na hakuna majeruhi.
Wameongeza wachezaji wao kila mmoja akiwa na morali ya kuondoka na alama tatu ugenini.
Hivyo makala AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO
yaani makala yote AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/azam-fc-wajigamba-kuifunga-biashara.html
0 Response to "AZAM FC WAJIGAMBA KUIFUNGA BIASHARA UNITED KATIKA MCHEZO WAO WA LEO"
Post a Comment