Loading...

BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
link : BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Muwakilishi wa wadau wa BancABC  Mr. Michael Wilkerson, akizungumza na wateja pamoja na wadau wa BancABC wakati wa mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena Dar es Salaam. Mkutano huo ulikuwa mahususi kwa ajili ya kusisitiza juu ya ahadi ya BancABC kuendelea kutoa na kutengeneza bidhaa bora kwa ajili ya wateja wake.
IMG_2226
Mkurugenzi Mtendaji wa Atlas Mara Group Mr. John Staley akiongea na wateja, wadau na wafanyakazi wakati wa hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam hivi karibuni, kwa lengo la kusisitiza ahadi ya kuendelea kutoa bidhaa za kipekee haswa kwa “retail banking” ambayo anajivunia uzoefu wake. Stejini ni muwakilishi wa wanahisa Mr. Michael Wilkerson, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa BancABC Mr. Imani John.
IMG_2457
Wateja wa BancABC walipowasili kwa ajili ya hafla. Hafla hii iliwaleta pamoja wadau, wateja, uongozi pamoja na wafanyakazi wa benki.
IMG_2129
Katika picha ya pamoja, toka kulia Mkurugenzi mtendaji wa Atlas Mara Group Mr John Staley, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC Mr. Imani John pamoja na muwakilishi wa wanahisa wa BancABC Mr. Michael Wilkerson
IMG_2120
BancABC staff posing for a group photo during this very successful event
Wafanyakazi wa BancABC katika picha ya pamoja baada ya hafla yenye mafanikio iliyoandaliwa na BancABC


Hivyo makala BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/bancabc-yawakutanisha-wateja-pamoja-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BancABC YAWAKUTANISHA WATEJA PAMOJA NA WADAU WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...