Loading...

BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI

Loading...
BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI
link : BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI

soma pia


BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI

Na. WFM
Serikali imezitaka Benki zote zinazotoa mikopo ya kilimo Tanzania Bara na Zanzibar kuhakikisha zinatoa mikopo kwa kuzingatia vigezo vya ukopeshaji vikiwemo kuangalia historia ya mkopaji ili kuondoa mikopo Chechefu (NPL).

Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Bububu Mhe. Mwantakaje Haji Juma, aliyetaka kujua utaratibu unaotumika kutoa mikopo kwa wakulima wa Zanzibar kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB).

Dkt. Kijaji alieleza kuwa kabla ya kutoa mkopo ni lazima Benki ijiridhishe na aina ya mradi wa mkopaji ikiwa utaleta faida itakayomuwezesha mkopaji kurejesha mkopo huo kwa wakati ili kuzuia ukuaji wa Mikopo Chechefu.

Akijibu swali la msingi la Mbunge huyo aliyetaka kujua ni wananchi wangapi wanaonufaika na mikopo ya Kilimo kwa upande wa Zanzibar, Dkt. Kijaji alisema kuwa jumla ya wananchi 3,000 wamenufaika na mikopo ya Benki ya TADB hadi kufikia Julai 31, 2018.

“Kati ya wanufaika hao 3000, idadi ya wanaume walionufaika ni 1800, wanawake 900 na vijana wa kike na kiume ni 300”, alieleza Dkt. Kijaji.

Alisema kuwa jumla ya mikopo ya shillingi bilioni 6.50, imetolewa kwa wananchi hao wa Zanzibar hadi kufikia Julai 31, 2018.


Hivyo makala BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI

yaani makala yote BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/benki-zinazotoa-mikopo-ya-kilimo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI ZINAZOTOA MIKOPO YA KILIMO TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATAKIWA KUFUATA VIGEZO VYA UKOPESHAJI"

Post a Comment

Loading...