Loading...

BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA

Loading...
BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA
link : BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA

soma pia


BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA

Na Shani Amanzi,

Mkurugenzi wa Huduma za Usimamizi Bodi ya Pamba Tanzania Ndg.James Shimbe amesema wakulima wakiweka kipaumbele kulima zao la pamba litaleta kipato kikubwa kwa Taifa kwani zao la Pamba nje ya nchi linauzwa kwa 80% na 20% ndani ya nchi ambapo mahitaji makubwa yanaenda Viwandani. 
 

Shimbe aliyazungumza hayo alipokuwa kwenye Kikao kazi cha Baraza la Madiwani tarehe 31/9/2018 kama mgeni mualikwa kuelezea zao la Pamba linavyoweza kulimwa katika wilaya ya Chemba kwa kuwa ardhi iliyopo inafaa kwa kilimo hicho.

Aidha Shimbe amesema “nchi yetu inapata mapato makubwa kwa kuuza pamba nje ya nchi katika nchi za China, India, Pakistan na Indonesia na tunapaswa kuuza kwa wingi katika Viwanda vyetu ili vitengeneze nguo na kuepuka nchi kuagiza nguo za mitumba nje ya nchi kama ilivyo sasa ”.
Shimbe amesema, uzalishaji wa pamba kwa ekari moja ni kilo 560-912 katika mikoa ya Iringa, Manyara,Tanga,Singida ,Katavi,Geita ,Mwanza, Shinyanga na tunapaswa kuzidi kuwahimiza wakulima wetu walime pamba kwa wingi kwani Pamba ni dhahabu nyeupe inayohitajika kwa wingi zaidi katika soko la dunia.

“Katika utafiti tulioufanya katika wilaya ya Chemba kilimo cha pamba tutaanza kuwawezesha wakulima wa kata ya kidoka, gwandi,Lahoda, na mrijo kwa kuwapatia pembejeo za kilimo cha pamba na msimo wa kilimo unaanza mwezi wa novemba 2018 na mvuno ni mwezi wa aprili, 2018”. Alisema Ndg. Shimbe.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Dkt.Semistatus Mashimba amewapongeza wageni kutoka bodi ya Pamba kwa kuja wilayani Chemba na ameahidi watashirikiana na Wataalam wa kilimo, Wahe. Madiwani na Wananchi ili kuweza kurahisisha kuwaelimisha wakulima umuhimu wa zao la pamba ili kuwainua .

“Tunaelewa katika kilimo kunachangamoto ikiwemo uwezo mdogo wa vyama vya ushirika,mabadiliko ya tabia nchi,kuwepo Maafisa ugani wachache ,wakulima kutozingatia kanuni bora za kilimo na mtazamo hasi wa zao la pamba lakini nawaahidi tutajitahidi kukabiliana nazo ili uzalishaji wa zao la pamba uwe tegemeo kubwa kama ilivyo zao la alizeti”aliongeza kwa kusema hivyo Dkt.Mashimba.


Hivyo makala BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA

yaani makala yote BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/bodi-ya-pamba-tanzania-yatembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BODI YA PAMBA TANZANIA YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA"

Post a Comment

Loading...