Loading...
title : BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES
link : BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES
BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES
MSIMU wa Bundesliga kwa Kiswazi umeanza rasmi ikiwa ligi yenye kasi na maarufu kwa kuzalisha wachezaji Vijana wenye vipaji. Kwa mara nyingine Kampuni ya Star Media imewaletea wateja wao msimu mpya wa Bundesliga wakiwa na matarajio makubwa sana kwa timu zote hivyo wateja wao watafurahia.
Akizungumza na vyombo vya habari Meneja masoko wa Startimes David Malisa kuhusiana kurejea kwa ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga msimu wa 2018/19 amesema kuwa ligi hiyo ya Ujerumani ni miongoni mwa ligi kubwa na bora kabisa barani ulaya, ikiwa na wachezaji mahiri kama mshambuliaji wa kimataifa wa Poland, Lewandowski, Marco Reus, mjamaica Leon Bailey na wengine wengi. Katika msimu huu wa 2018/19 StarTimes imezidi kuinogesha Bundesliga kwani itakuwa ikitangazwa kwa lugha ya. Kiswahili.
“Ikumbukwe kwamba StarTimes pekee ndio tunaonyesha ligi ya Bundesliga na sasa burudani inaongezeka maradufu kwa sababu mechi zitatangazwa kwa lugha yetu ya nyumbani yaani Kiswahili, na wachambuzi makini kabisa wenye weledi katika soka la ulaya. Pia mechi zote zitakuwa zikipatikana kwa kiwango cha HD kwenye chaneli zetu za Michezo”. Ameeleza Malisa. David Malisa, Meneja Masoko.

Meneja masoko wa Startimes David Malisa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kurejea kwa msimu wa pili wa kutazama kwa ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga 2018/19 kupitia king'amuzi cha Startimes. kulia ni Meneja Maudhui wa StarTimes, Zamaradi Nzowa.
Meneja Maudhui wa StarTimes, Zamaradi Nzowa akizungumza na waandihsi wa habari leo wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa kutazama kwa ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga 2018/19 katika ofisi za kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam.
Balozi wa ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga Abduli – Aziz Abubakari Chende "Dogo janja" akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na ligi hiyo. Kushoto ni Meneja masoko wa Startimes David Malisa.
Hivyo makala BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES
yaani makala yote BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/bundesliga-yawa-moto-live-kwa-kiswahili.html
0 Response to "BUNDESLIGA YAWA MOTO, LIVE KWA KISWAHILI KUPITIA STARTIMES"
Post a Comment