Loading...
title : CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU
link : CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU
CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU
Cassius O. Mdami ni miaka miwili sasa tangu umetuacha familia yako; mke wako Rose Mdami; na watoto wako Martina, Grace, Gideon, Gonsalver na Gibson.

Mungu anajua maumivu yote na machungu tuliyopitia familia yako na tunayoendelea kuyapitia kwa kutokuwepo kwako. Machozi yanatudondoka na hakuna wa kuyafuta; ila tumaini tunalo ya kwamba iko siku moja tutaonana nawe katika makao ya Baba Mbinguni.
Mungu endelea kutufariji kama maneno yako yasemavyo katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati 31:8 “ Naye Bwana ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike ”
Pumzika kwa Amani Baba G4
Hivyo makala CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU
yaani makala yote CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/cassius-mdami-kweli-umeenda-ila-umebaki.html
0 Response to "CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU"
Post a Comment