Loading...

CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018

Loading...
CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018
link : CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018

soma pia


CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018



Baraza la mchezo la Taifa (BMT) limetangaza uchaguzi wa Viongozi wa Shirikisho la Mieleka ya Ridhaa Tanzania (TAWF) unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Oktoba, 2018 katika ukumbi wa msasani Beach Club, jijini Dar es Salaam.

Fomu zimeanza  kutolewa katika Ofisi za Baraza na pia kupatikana katika tovuti ambayo ni www.nationalsportscouncil.go.tz kuanzia tarehe leo tarehe 17 Septemba, 2018, ambapo mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni tarehe 19 Oktoba, 2018.

Aidha, usaili utafanyika tarehe 26 Oktoba kuanzia saa 3:00 asubuhi kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo siku inayofuata ha na mahali mtafahamishwa kabla ya kufika tarehe hizo.

Nafasi zinazogombewa ni; 
Rais, Makamu wa Rais, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mhasibu Mkuu


Afisa Habari na Wajumbe watatu (3) wa kuchaguliwa












SIFA ZA WAGOMBEA;-.



.Awe mwanachama wa shirikisho la mieleka nchini (TAWF).


.Awe na umri wa kuanzia miaka 25 na kuendelea.



.Asiwe amewahi kupatikana na kosa la jinai.


.Kwa nafasi ya Rais, Makamu wa Rais, Katibu Mkuu na Msaidizi, awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea pamoja na uwezo wa kuandika na kusoma kingereza na Kiswahili kwa ufasaha.


.Awe na akili timamu.



.Mhasibu Mkuu na Msaidizi awe na cheti cha uhasibu, stashahada au zaidi ya hapo. 


.Sifa za wajumbe wa kamati mbalimbali wawe na uzoefu wa mchezo wa mieleka, wanaojua sheria za mchezo wa mieleka au wawe wameshawahi kuwa viongozi katika ngazi ya vilabu, wilaya, mkoa na Taifa.
.Asiwe amewahi kucheza,kuongoza au kushiriki kwa namna yoyote ile mieleka ya kulipwa.

BMT linatoa wito kwa wenye nia ya dhati ya maendeleo ya mchezo huu, kujitokeza kuchukua fomu na kugombea nafasi stahiki ili kuendeleza shirikisho pamoja na kuiletea sifa nchi. 

Fomu zilipiwe katika Akaunti ya Baraza kwa jina la National Sports Council Ac. No. 20401100013 na kuwasilishwa risiti iliyolipiwa Benki pamoja fomu zilizojazwa kwa usahihi.






Kwa wa rais na makamu wake 
Ada ya fomu ni sh. 50,000/= na kwa nafasi zingine zilizisalia 

Ada ya fomu itakuwa ni sh. 30,000/


Hivyo makala CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018

yaani makala yote CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/chama-cha-mieleka-kufanya-uchaguzi-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHAMA CHA MIELEKA KUFANYA UCHAGUZI WAKE OKTOBA 27, 2018"

Post a Comment

Loading...