Loading...

Christopher Chiza aapishwa bungeni

Loading...
Christopher Chiza aapishwa bungeni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Christopher Chiza aapishwa bungeni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Christopher Chiza aapishwa bungeni
link : Christopher Chiza aapishwa bungeni

soma pia


Christopher Chiza aapishwa bungeni


Image result for picha za christopher chiza

Mkutano wa kumi na mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umeanza rasmi leo tarehe 4 Septemba, 2018 ambapo ilikuwa kikao cha kwanza na kuongozwa na Spika Job Ndugai.
Katika kikao hicho, Mbunge wa Jimbo la Buyungu, Mhandisi Christopher Chiza aliyechaguliwa kwenye uchaguzi mdogo wa tarehe 12 Agosti, 2018 alikula kiapo cha uaminifu mbele ya bunge.
Akiapa mbele ya Bunge, Mhandisi Chiza aliapa kuitumikia, kuilinda na kuitetea katiba ya nchi kwa moyo wake wote.
Mhandisi Chiza alishinda katika uchaguzi mdogo uliofanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, marehemu Kasuku Bilago kufariki dunia. Katika uchaguzi huo alichuana vikali na mgombea wa Chadema, Elia Michael.  


Hivyo makala Christopher Chiza aapishwa bungeni

yaani makala yote Christopher Chiza aapishwa bungeni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Christopher Chiza aapishwa bungeni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/christopher-chiza-aapishwa-bungeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Christopher Chiza aapishwa bungeni"

Post a Comment

Loading...