Loading...

CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI

Loading...
CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI
link : CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI

soma pia


CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI

Mtaalam wa ndege tiara kutoka kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Yu Jing Run akiiandaa ndege tiara tayari kwa kuirusha katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Septemba 12 2018, wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo itakayokusanya taarifa na upimaji ramani. Wanaoshuhudia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (wa tatu kushoto), Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga na wana taaluma mbalimbali. 

Mhandisi upimaji ramani wa kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Ren Ya Feng akitoa muhtasari wa jinsi ndege tiara inavyofanya kazi muda mfupi kabla ya kuirusha kwa upigaji picha jijini cha Dar es Salaam Septemba 12 2018. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa, Naibu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga (Kushoto Makamu Mkuu) na wana taaluma mbalimbali. 



Hivyo makala CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI

yaani makala yote CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/chuo-kikuu-ardhi-chaanza-kutumia-ndege.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI"

Post a Comment

Loading...