Loading...

DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI

Loading...
DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI
link : DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI

soma pia


DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI

 Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MKUU wa Wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Mfaume Kizigo amefanya ziara  katika Kata ya Mgombasi ambapo amepata nafasi ya kutembelea ya Shule ya Msingi Mkuyuni.

Shule awali ilikuwa ya nyasi tu na moja ya mkakati wa Mkuu wa Wilaya ni kuendelea kuboresha mazingira ya shule hiyo.

Akizungumzia shule hiyo Kiziga amesema wananchi kwa nguvu zao walijitolea wakajenga madarasa." Hivi sasa kuna madarasa matano ambayo yapo kwenye hatua nzuri,"amesema Mkuu wa Wilaya . 

Pia amesema kwa kuwa kuna uhaba wa vyumba viwili  vya madarasa na hakuna kabisa shule ya awali (chekechea), wanafunzi wa chekechea, darasa la kwanza na la pili wanasomea katika chumba kimoja cha darasa.

Amefafanua wamekubaliana na wananchi wa hapo kwamba wajenge hayo madarasa mawili mpaka boma, kisha Serikali watachangia vifaa vya viwandani.
Mkuu wa Wilaya Sohia Kizigo akimtazama  Mmoja wa Wanafunzi aitwaye Zamda akiandika ubaoni kujibu maswali ya hesabu aliyoandikiwa na Mkuu wa Wilaya kujiridhisha kama bado kanuni ya KKK inawasaidia na inawafanya waelewe vizuri 
 Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo,Mh Sophia Kizigo akikabidhiwa taarifa ya shule na Mwalimu mkuu wa shule ya Makuyuni
 Mkuu wa Wilaya Mh Kizigo pamoja na ujumbe wake wakikagua moja ya darasa ambalo Wanafunzi wanasoma madarasa 3 kwa wakati mmoja,kutoka na shule hiyo kuwa na uhaba wa madarasa. 



Hivyo makala DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI

yaani makala yote DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/dc-sophia-kizigo-aahidi-kushirikiana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC SOPHIA KIZIGO AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA MGOMBASI KUBORESHA SHULE YA MKUYUNI"

Post a Comment

Loading...