Loading...

HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI

Loading...
HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI
link : HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI

soma pia


HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI

Mkurugenzi wa Taasisi ya Hakimadini Amani Mhinda(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Serikali imeombwa  kusitisha Mkataba wa Uwekezaji  na nchi ya Uholanzi kabla ya September 28 mwaka huu baada ya kubainika mikataba hiyo haina maslahi mapana kwa Taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salama Mkurugenzi wa Taasisi ya Hakimadini Amani Mhinda, habari amesema kuwa mikataba hiyo inavipengele vingi ambavyo havina faida kwa taifa.

Amesema hivyo serikali inapaswa kupitia mkataba  yote kabla ya September 28 serekali kwani ikipita tarehe hiyo haitaweza kurekebisha mapungufu ya mikataba hiyo.

"Kama septemba 28 mwaka huu ikipita bila kufanyiwa marekebisho mikataba hiyo, serikali inapaswa kusubiri tena baada ya miaka kumi" amesema Mhinda.

Mhinda amefafanua kuwa pmoja na serikali kuonyesha nia ya dhati ya kuboresha mikataba haitakuwa na fursa hiyo tena kwa miaka 10.

Amesema kuwa mkataba ulivyo kwa sasa huo hautoi fursa ya mapitio hivyo serikali inatakiwa itoe notisi ya kusitisha mkataba huo ndani ya wakati kisha baadae warudi mezani kwa ajili ya mazungumzo na ufalme wa Uholanzi.

Ameongeza kuwa mazungumzo baina ya nchi ya Tanzania na Uholanzi yatasaidia kuviondoa vifungu vyote  vinavyokinzana na maslahi mapana ya taifa hasa yale yanayosimamiwa na utawala wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Ameeleza kuwa  tofauti na mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na nchi nyingine, mkataba huo una sharti la kipekee ambalo halipo kwenye mikataba mingine chini ya ibara ya 14 ya mkataba huo ambapo inasema endapo upande wowote hautotoa notsi ya miezi 6 ya kusitisha mkataba huo kabla ya tarehe ya kuisha kwake mkataba huo utajihuisha wenyewe kwa masharti yale yale.

Imeeleza kuwa katika  ufuatiliaji wamebaini kuwa Ufalme wa Uholanzi ulishabadilisha masharti ya mkataba ikiwemo wa uwekezaji baina yao na nchi zinazoendelea (Model BIT).



Hivyo makala HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI

yaani makala yote HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/hofu-yatanda-mkataba-wa-uwekezaji-tz-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HOFU YATANDA MKATABA WA UWEKEZAJI TZ NA UHOLANZI"

Post a Comment

Loading...