Loading...

HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE.

Loading...
HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE.
link : HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE.

soma pia


HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE.


Mtumishi wa hospitali ya Aga khan akielezea ubora wa huduma za afya zinazotelewa katika hospitali hiyo iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Hospitali ya Aga khan kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Jubilee imezindua Bima ya Jubilee (Jilinde Afya) kwa ajili ya kuwasaidia watanzania ili kupata matibabu kwa urahisi.

Akizungumza kwa niaba ya Kamishna wa Bima  leo jijini Dar es Salaam matibabu hafla ya uzinduzi wa huduma ya Bima ya Jubilee Issa kisongo, amesema kuwa bima hiyo itawasaidia watanzania kupata huduma bora za afya kupitia vituo vya hospitali ya Agakhan hapa nchini.

Kisongo amesema kuwa Bima ya Jubilee ni rafiki kwa watanzania katika kuhakikisha wanapata huduma bora ya afya kipindi chote watakapoitaji matibabu katika hospitali zote za Aga Khan hapa nchini.
Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya Bima ya Jubilee Dipankar Acharya, amesema kuwa na Bima kuna faida nyinge ikiwemo kupata matibabu muda bila kikomo.

"Lengo ni kuwasaidia watanzani kukabiliana na matatizo ya kiafya yatakayoweza kutokea katika kipindi chote cha mkataba wa Bima" amesema Acharya.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utabibu kutoka Bima ya Jubilee Rogation Selengia, amesema kuwa bima ya jilinde afya inalenga kuwasaidia watu wote wenye kipato cha chini katika kutoa huduma nafuu za afya.

"Jilinde afya ni bima ambayo imegawanyika katika viwango tofauti ambavyo mtanzania wa kawaida anaweza kumudu na kutibiwa mahali katika vituo vya afya vya Agakhan” amesema Selengia.
Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam. Dkt. Grace Magembe, amesema kuwa ni kuzinduliwa kwa Bima ya Jubilee ni mafanikio katika sekta ya afya ambayo itawasaidia watanzania kupata matibabu.

Dkt. Magembe amesema kuwa sekta ya afya inaendelea kuimalika katika mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwa na mazingira rafiki kwa kupatikana na matibabu.

"Bima hii ni nzuri kutokana inampa fursa mtumiaji kufanya mazoezi kwa gharama nafuu pamoja na kupata huduma afya bila kikomo muda wote akiwa na Bima" amesema Dkt. Magembe.

Katika hatua nyengine Dkt. Magembe amewataka watanzania wawe na utamaduni wa kupima afya jambo ambalo litasaidia kuwa na afya bora muda wote.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe akizungumza na waandishi wa Habari.
Kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania pamoja na Hospitali ya  Aga Khan é kuandaa huduma ya Bima ya Afya (Jilinde Afya) kwa lengo la kutoa huduma bora ya afya.

Lengo ni kurahisha upatikanaji wa huduma bora ya afya kwa wananchi wa Tanzania kupitia vituo mbalimbali vya afya vya hospitali ya Agakhan.



Hivyo makala HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE.

yaani makala yote HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/hospitali-ya-khan-kan-yaleta-hauweni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HOSPITALI YA KHAN KAN YALETA HAUWENI UPATIKANAJI MATIBABU KUPITIA BIMA YA JUBILEE."

Post a Comment

Loading...