Loading...

JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI.

Loading...
JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI.
link : JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI.

soma pia


JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI.

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Steven Ulaya ametangaza matokeo ya Jumla ya Ubunge katika jimbo la Monduli.

Uchaguzi huo ulihusisha jumla ya vyama nane vya siasa vilivyo kuwa vinawania nafasi hiyo ya kupewa ridhaa na wananchi ya kuongoza jimbo hilo hadi mwaka 2020.

Julius Kalanga wa CCM (Pichani) ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo baada ya kupata kura 65, 714 dhidi ya kura 3,187 alizopata mshindani wake Yonas Leiser wa CHADEMA.


Hivyo makala JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI.

yaani makala yote JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/julius-kalanga-atangazwa-mshindi-ubunge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JULIUS KALANGA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA MONDULI."

Post a Comment

Loading...