Loading...

Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba

Loading...
Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba
link : Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba

soma pia


Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba

KAIMU mkurugenzi mkaazi wa Mamlaka ya Ukuzaji wa Vitega Uchumi Zanzibar Tawi la Pemba, Ali Shaaban Suleiman akionyesha wajumbe wa kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi,  mipaka ya Maeneo huru ya Uwekezaji Micheweni eneo ambalo limetekwa kwa maazi lenye ukubwa wa Hekta 261.4, wajumbe waho walipotembelea maeneo hayo.(PICHA NA ABDI ZULEIMAN, PEMBA)

AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi, wakati walipotembelea maeneo huru ya uwekezaji vitega uchumi Micheweni.(PICHA NA ABDI ZULEIMAN, PEMBA)
 MWENYEKITI wa Kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt Mwinyihaji Makame Mwadini akisikiliza kwa makini maelezo mafupi yaliyosomwa na Mkurugenzi Mkaazi wa ZIPA Pemba, Ali Shaaba Suleiman juu ya maeneo huru ya uwekezaji Micheweni.(PICHA NA ABDI ZULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt Mwinyihaji Makame Mwadini akieleza jambo mara baada ya kusomwa kwa maelezo mafupi juu ya uwekezaji wa maeneo huru ya vitega uchumi Micheweni.(PICHA NA ABDI ZULEIMAN, PEMBA)  


Hivyo makala Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba

yaani makala yote Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kamati-ya-fedha-biashara-na-kilimo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamati ya Fedha biashara na Kilimo ya baraza la wawakilishi ziarani Pemba"

Post a Comment

Loading...