Loading...
title : Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni
link : Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni
Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni
Kiongozi Mkuu wa Kituo cha Afya cha PCMC Richard Ulanga akizungumza na waandishi habari mara baada ya Kituo hicho kutoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni,Kigamboni Jijini Dar es Salaam
Kiongozi Mkuu wa Kituo cha Afya cha PCMC Richard Ulanga akikabidhi msaada katika mgonjwa aliyelazwa katika Kituo cha Afya Vijibweni.
Picha ya watumishi wakiwa wameshika vitu vya msaada kwa ajili ya wagonjwa waliopo katika Kituo cha Afya Vijibweni.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
KITUO cha Afya cha PCMC kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika kituo cha Afya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari Viongozi Mkuu wa Kituo hicho Richard Ulanga amesema msaada huo ulilengwa kwa wagonjwa katika kutuo cha Vijibweni ikiwa ni maadhimisho ya miaka mitano ya kituo cha Afya cha PCMC.
Amesema kama watoaji wa huduma za afya wameona na umuhimu wa kutoa msaada katika kituo cha afya cha Serikali.
Ulanga amesema hawataishia hapo bali wataendelea kutoa msaada kila wanapoadhimisha miaka mingine
Aidha amesema katika kusherekea huko kila mtumishi amejitoa kwa nafasi yake kwa kutambua anawajibu ya kusaidia jamii inayomzunguka.
Hivyo makala Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni
yaani makala yote Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kituo-cha-afya-pcmc-kimetoa-msaada.html
0 Response to "Kituo cha Afya PCMC kimetoa msaada katika Kituo cha Afya Vijibweni"
Post a Comment