Loading...
title : Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle
link : Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle
Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson M. Masilingi, akizungumza wakati akisoma hotuba kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa, aliyekuwa amealikwa kufungua Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani, lililoandaliwa na DICOTA (Diaspora Council of Tanzanians in America) tarehe 31 Agosti, 2018 hadi tarehe 2 Septemba, 2018 Seattle, Marekani.
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba John Kabudi, akiwasilisha hotuba yake kuhusu tulipotoka baada ya Uhuru, tulipo sasa, tunapoelekea, mafanikio na mipango ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Washiriki wa Kongamano la Diaspora, Marekani wakishangilia hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoshehini mafanikio na mipango kabambe ya Serikali ya Awamu ya Tano.
Washiriki katika Kongamano la Jumuiya ya Watanzania waishio Marekani lililoandaliwa na DICOTA (Diaspora Council for Tanzanians in America), wakifuatilia Hotuba hiyo katika Hoteli ya Seattle Marriott Belleview, Seattle, Washington, Marekani tarehe 31 Agosti 2018 hadi tarehe 2 Septemba 2018.
Picha ya pamoja ya Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika Kongamano la Diaspora, Seattle, Washington, Marekani na viongozi wa DICOTA wenyeji wa Kongamano hilo.
Hivyo makala Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle
yaani makala yote Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kongamano-la-watanzania-wanaoishi.html
0 Response to "Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle"
Post a Comment