Loading...

Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba.

Loading...
Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba.
link : Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba.

soma pia


Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akiangalia moja ya lishe za watoto zinazotengenezwa na Mwalimu wa wanakisomo cha watu wazima Kutoka Ubago Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja Juliana Masanja, katikati ni Mkurugenzi wa Elimu Mbadala zanzibar Mashavu Ahmada Fakihi wakati wa maonyesho ya bidhaa za wanavizomo katika  juma la elimu ya watu wazima Kitaifa lililofanyika katika kituo cha elimu mbadala Wingwi Wilaya ya Micheweni
MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali, akizungumza na wanafunzi wa fani ya Uchongaji wa Fanicha, mara baada ya kukagua kazi zao za mikono wanaozitengeneza kufuatia kupata taaluma hiyo katika vyuo vya amali Kisiwani Pemba, wakati wa juma la elimu ya watu wazima Kitaifa lililofanyika katika kituo cha elimu mbadala Wingwi Wilaya ya Micheweni
 MKURUGENZI wa Idara ya Elimu Mbadala na Watu wazima Zanzibar, Mashavu Ahmada Fakihi, akizungumza na wazazi, wanafunzi, wanakisomo na wananchi katika kilele cha juma la elimu ya watu wazima huko katika kituo cha elimu mbadala Wingwi Wilaya ya Michewenii
MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akizungumza na Walimu, wanakisomo, wazazi na wananchi wa Wingwi katika kilele cha juma la elimu la watu wazima kitaifa lililofanyika katika kituo cha elimu mbadala Wingwi Wilaya ya Micheweni
MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali, akimkabidhi zawadi mmoja ya walimu wanaosemesha elimu ya Watu wazima, Kisiwani Pemba wakati wa kilele cha juma la elimu ya watu wazima kitaifa, lililofanyika katika kituo cha elimu mbadala Wingwi Wilaya ya Micheweni
WAGENI mbali mbali waalikwa waliohudhuria katika kilele cha Juma la elimu ya watu wazima kitaifa, lililofanyika katika kituo cha elimu mbadala Wingwi Wilaya ya Micheweni
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba.

yaani makala yote Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/maadhimisho-ya-juma-la-elimu-ya-watu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima Lafana Kisiwani Pemba."

Post a Comment

Loading...