Loading...
title : MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA
link : MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA
MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maua wakati alipowasili kwenye makao mkuu ya kampuni ya Huawei Technologies yaliyopo Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo duniani, Li Da Feng. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vifaa vya elektroniki wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni ya Huawei Technologiies yaliyopo, Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo Duniani, Li Da Feng . Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Augustine Mahiga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Huawei Techinologies yaliyopo Shenzhen nchini China baada ya kutembelea Ofisi hizo na kuzungumza na viongozi wa Kampuni hiyo, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/majaliwa-atembelea-ofisi-kuu-ya-kampuni.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA"
Post a Comment