Loading...

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR

Loading...
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR
link : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR

soma pia


MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Baozi Seif Ali Idd (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi (kulia) wakiwa wamesimama kwa dakika moja kama ishara ya kuwaombea marehemu waliofariki kwenye ajali ya kivuko cha MV. Nyerere kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalumcha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa-Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mabati ya kisasa kwa ajili ya tawi la CCM Urusi lililopo Jang'ombe kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi ikiwa ni kutimiza ahadi yake aliyoitoa kwenye ziara yake mapema mawaka huu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/makamu-wa-rais-ahudhuria-kikao-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA-ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...