Loading...
title : MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI
link : MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI
MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi na Bulyanhulu Benedict Busunzu (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyanghwale Bi Mariam Chaurembo katika ukumbi wa mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Nyanghwale Mkoani Geita baada ya kusaini na kubadilishana hati za makubaliano ya mchango wa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa zahanati za vijiji 32 vya Halmashauri ya Nyanghwale, Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nyanghwale Aloyce Mussa Lumambi, Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Luhumbi, Mkuu wa Wilaya ya Nyanghwale Hamim Gwiyama, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Japhet Simeo.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu na Buzwagi Benedict Busunzu akizungumza wakati wa zoezi la utiaji saini makubaliano.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Bi Mariam Chaurembo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyanghwale Bi Mariam Chaurembo akizungumza.
Kutoka kushoto Mkuu wa Wilaya ya Nyanghwale Hamim Gwiyama, akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu na Buzwagi Bwana Benedict Busunzu.
Hivyo makala MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI
yaani makala yote MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mgodi-wa-bulyanhulu-watiliana-saini.html
0 Response to "MGODI WA BULYANHULU WATILIANA SAINI MAKUBALIANO NA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI"
Post a Comment