Loading...

Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1.

Loading...
Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1.
link : Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1.

soma pia


Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1.

 
Mshambuliaji wa Timu ya Malindi Khamis Haji ( Rais ) akimpita beki wa Timu ya Pangani wakati wa mchezo wao wa Kombe la FA la Dkt. Shein, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.

Katika mchezo huo uliojaa ufundi kwa kila upande wakionesha jinsi ya kumiliki mpira na kutowa mashambulizi ya kutegeana Timu ya Malindi imeandika bao lake la kwanza katika dakika 53 kupitia mshambuliaji weake Haji wa Haji. 

Vijana wa Timu ya Pangani waliaza kulisakama lango la Timu ya malindi katika dakika ya 62 ya mchezo huo kipindi cha pili waliweza kuzawazisha kupitia mshambuliaji wake Juma Makame kwa shuti la mbali nje ya boksi.

Malindi walifanya mabadiliko kwa kumuingiza mchezaji wake Syprian Benedicta na kuweza kubadilisha mchezo huo na kuweza kuongeza bao lapili na la ushindi kupitia mshambuliaji wake Khamis Haji. mchezo huo umemalizika kwa ushindi wa bao 2-1 dhidi ya timu ya malindi na kusonga mbele katika michuano hiyo. 






 Wachezaji wa Pangani wakishangilia bao lao la kusazasha wakati wa mchezo huo.






Hivyo makala Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1.

yaani makala yote Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/michuano-ya-kombe-la-fa-la-dkt-shein.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michuano ya Kombe la FA la Dkt. Shein, Kati ya Malindi na Pangani Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi Imeshinda Bao 2-1."

Post a Comment

Loading...