Loading...

MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA

Loading...
MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA
link : MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA

soma pia


MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto) akizungunza na  Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( wa pili kutoka kushoto) na  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(katikati) wakati kiongozi huyo wa kiroho alipomtembelea Ofisi kwake jana.
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwene koti la bluu) akiwa katika picha ya pamoja na  Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( pembeni yake kutoka kulia) na  ,Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(wa pili kutoka kulia) na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wakati kiongozi huyo wa kiroho alipomtembelea Ofisi kwake jana.

 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(  )  akizungunza na  viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora mara baada ya Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( pembeni ya Mkuu wa Mkoa) alipomtembelea Ofisi ya Mkoa huo jana.


Hivyo makala MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA

yaani makala yote MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mwakilishi-wa-papa-awatembelea-jimbo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA"

Post a Comment

Loading...