Loading...
title : NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI
link : NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI
NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI
Fundi Mkuu wa Mv. Nyerere Alphonse Augustino Cherehani ameokolewa akiwa hai baada ya kukwama ndani ya meli kwa saa zaidi ya 30.
Anaendelea kupata matibabu katika kituo cha afya Bwisya Ukara.
''Mpaka sasa miili ya waliopolewa wakiwa wamekufa ni 163,na kati yao miili 116 imetambuliwa na ndugu zao'' amesema Waziri wa Uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe.
Hivyo makala NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI
yaani makala yote NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/newz-alert-fundi-mkuu-wa-mv-nyerere.html
0 Response to "NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI"
Post a Comment