Loading...
title : PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR
link : PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR
PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, kushoto, akimkaribisha Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William bandarini mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam jana. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Pembeni ya Mhandisi Kakoko ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, katikati, akitazama sanamu ya Twiga aliyomzawadia Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kushoto, mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, katikati, akimkabidhi zawadi ya sanamu ya Twiga Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kulia, mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Kushoto ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, katikati, akitambulisha watendaji wake kwa Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kushoto, mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Nyuma ya Mhandisi Kakoko ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Hivyo makala PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR
yaani makala yote PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/prince-willium-atembelea-bandari-dar.html
0 Response to "PRINCE WILLIUM ATEMBELEA BANDARI DAR"
Post a Comment