Loading...
title : PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA
link : PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA
PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo amezindua menejimenti mpya ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASA) itakayokuwa inaongozwa na Afisa Mtendaji Mhandisi Cyprian Luhemeja.
Akizindua menejimenti hiyo, Profesa Mkumbo amesema kuwa Dawasa mpya inatakiwa kuhakikisha kufika mwaka 2030 wananchi wanapata maji ya kuhakikisha kutokana na ongezeko la watu ambapo Dar es Salaam ni moja ya miji inayokuwa kwa kasi duniani na ifikapo 2030 ongezeko la watu litafikia takribani Milioni 1.
Akizungumza katika sherehe za kuunganishwa kwa DAWASA na DASAWCO Profesa Kitila Mkumbo amesema kuunganishwa huko kutaokoa Sh Bilioni 2.9 kila mwaka zilizokuwa zikipotea katika uendeshaji wa Dawasa na Dawasco na kusema
fedha hizo zitakwenda kusaidia upatikanaji wa huduma ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.
“Serikali iliamua kuunganisha Dawasa na Dawasco ili kupunguza matumizi na fedha hizi zitaimarisha miundombinu na kuboresha huduma za maji katika eneo la huduma,” alisema Profesa Mkumbo.
Profesa Mkumbo amewaonya wafanyakazi wa Dawasa mpya kuacha tabia ya ya dharau, nyodo,kukumbatia matatizo, na kuomba rushwa kwa wateja.
“Baadhi yenu mmekuwa na nyodo, kikola,rushwa na kuridhika na mafanikio kidogo tabia hizi zikome kuanzia sasa,”
Hivyo makala PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA
yaani makala yote PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/prof-kitila-mkumbo-azindua-menejimenti.html
0 Response to "PROF KITILA MKUMBO AZINDUA MENEJIMENTI YA DAWASA MPYA"
Post a Comment