Loading...
title : RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA
link : RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA
RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA
Katibu wa Rais Ndg. Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kw aajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.
Katibu wa Rais Ndg. Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kwaajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.
Katibu wa Rais Ngusa Samike akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kwaajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.
PICHA NA IKULU.
Hivyo makala RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA
yaani makala yote RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-john-magufuli-ametimiza-ahadi_11.html
0 Response to "RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA"
Post a Comment