Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE
link : RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE
RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa baada ya mazungumzo yao yaliofanyika ,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza.
Septemba 5,2018.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-magufuli-akiagana-na-wenyeji.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE"
Post a Comment