Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE
link : RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE
RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkambidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mstaafu Harold Nsekela akimuongoza Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kula kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe. Job Ndugai na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja baada ya Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-magufuli-amuapisha-dkt.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA DKT NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE"
Post a Comment