Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakati akiwa njiani kuelekea Musoma mkoani Mara.
Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Bunda wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama kuwasalimia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kwa njia ya Simu kuhusu mgogoro wa ardhi uliopelekea Bibi Nyasasi Masige mwenye kilemba aliyekaa kudai kunyang’anywa Kiwanja chake Wilayani Bunda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Bibi Nyasasi Masige kiasi cha Shilingi laki tano ili zimsaidie mara baada ya kusikiliza kero yake ya madai ya kunyanga’nywa kiwanja chake. Rais Dkt. Magufuli ameagiza uchunguzi ufanyike haraka ili haki ya bibi huyo iweze kupatikana. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-magufuli-azungumza-na-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA MKOANI MARA"

Post a Comment

Loading...