Loading...

RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO

Loading...
RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO
link : RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO

soma pia


RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO

 MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kwakibuyu Kata ya Kipumbwi wilayani Pangani wakati wa ziara yake ambapo aliwataka kuacha kushiriki kwenye vitendo vya biashara haramu za magendo na uingizaji wa dawa za kulevya.
 Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani (DAS) Mwl Hassani Nyange akizungumza katika ziara hiyo.
 MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella katikati akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa wakati wa ziara yake wilayani humo kushoto ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Mbunge wa Jimbo la Pangani  (CCM) Jumaa Aweso.
 Sehemu ya umati wa wananchi wakimsikilizaa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella.


MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella amewaonya wananchi wa Kijiji cha Kwakibuyu kata ya Kipumbwi wilayani Pangani wanaojishughulisha na uingizwaji wa dawa za kulevya ,wahamiaji haramu na biashara za magendokuacha mara moja vitendo hivyo kabla hawajakumbana na mkono wa sheria huku akiwataka wananchi kuwafichua watu hao.


Eneo la Kipumbwi limekuwa likitajwa kuwa ni miongoni mwa maeneo ambayo kumekuwa bandari bubu ambayo imekuwa ikitumika kwenye matumizi mbalimbali ikiwemo kuingiza bidhaa za magendo, wahamiaji haramu jambo ambalo alisema linapaswa kukomeshwa.

Shigella aliyasema hayo jana wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ikiwemo kuzungumza na wananchi kwenye mikutano ya hadhara wilayani Pangani ambapo alisema Bandari hiyo bubu zimekuwa tatizo kwenye kutumika kwenye matumizi ambayo yasiyokuwa salama.

“Hapa Kipumbwi mmekuwa na tatizo kubwa la bandari bubu ambayo imekuwa kutumika kwenye matumizi yasiyosalama biashara haramu ya kupitisha wahamiaji, dawa za kulevya ama kusafirisha wahamiaji haramu lakini wapo  baadhi yenu wanadhamira njema ya kuleta bidhaa kutoka maeneo mengine  ikiwemo mkoani Tanga wakati mwengine kivuko kikiwa kimefungwa.


Hivyo makala RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO

yaani makala yote RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rc-shigella-awaonya-wananchi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA, BIASHARA ZAMAGENDO"

Post a Comment

Loading...