Loading...
title : SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI
link : SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI
SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
LEO Septemba 11 dunia inakumbuka miaka 17 tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi lililotekelezwa na kundi la kigaidi maarufu kama Al Queda dhidi ya Marekani kwa kulipua miji miwili na kusababisha mauaji na hasara kubwa.
Shambulio hilo ni moja kati ya mashambulio manne makubwa kuwahi kutokea, na shambulio hilo linafahamika zaidi kama Septemba 11 lilotokea asubuhi ya siku ya jumanne ya tarehe 11/9/2001 ambapo magaidi hao waliteka ndege 4 na kuzitumia kama silaha kwa kuzigongesha kwenye majengo makubwa ya kibiashara (World Trade Centre) katika majiji Newyork na Washngton DC.
Shambulio hilo lililofanyika asubuhi ilisababisha vifo zaidi ya watu 2996, majeruhi zaidi ya 6,000 na hasara ya uharibifu uliokadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 10 na baadaye wengi wakagundulika na kuwa na matatizo katika mifumo ya upumuaji na saratani.
Ndege tatu zilifanikiwa kugonga majengo makubwa ya kibiashara na ndege moja ilitwaliwa na abiria na ikaangua katika mji wa Pennsylvania na magaidi 19 wa shambulio hilo walifariki.
Baada ya shambulio Marekani walilaani shambulio hilo na kuanza vita dhidi ya ugaidi ambapo kiongozi na mwanzilishi wa kundi hilo la Al Queda Osama Bin Laden alikimbilia nchini Afghanistan na kujificha.
Baada ya kumsaka gaidi huyo kwa miaka 10, Bin Laden aliuawa na jeshi la wana maji la Kimarekani mnamo 5/2/2011.
Hivyo makala SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI
yaani makala yote SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/septemba-11-osama-bin-laden.html
0 Response to "SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI"
Post a Comment